Wema Sepetu amezungumzia kuhusu taarifa za ujauzito wake

Screen Shot 2014-06-16 at 4.16.41 PMStaa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito…>>>
Kupitia page yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu’
Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.25 PM
Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.38 PM
MAONI
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks