
Cristiano Ronaldo akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lisbon, Ureno, akitokea kwenye mashindano ya Kombe la Dunia, Brazil...>>>>

Akikumbatiana na mlinda mlango wa Ureno, Beto, kwenye Uwanja wa Ndege wa Lisbon, Ureno.

Akionekana kuwa na uso wa masikitiko. Siamini kama tumeshindwa kufudhu… Dah!

Akijianda kuingia ndani ya taxi huku mashabiki na waandishi wa habari wakimkodolea macho.

Akiingia ndani ya taxi, tutaonana Urusi, Mungu akipenda. Picha na Yahoo News
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment