Picha: Mashambulizi yaliyotokea Kenya,,,,,

Walioshuhudia shambulizi hilo wanasema makabiliano ya risasi yaliendelea kwa saa kadhaa na kushuhudia majengo yakiteketezwa.
Walioshuhudia shambulizi hilo wanasema makabiliano ya risasi yaliendelea kwa saa kadhaa na kushuhudia majengo yakiteketezwa.
Mji wa Mpeketeni uko karibu na kisiwa cha Lamu , eneo linalosifika kama kivutio cha watalii
Mji wa Mpeketeni uko karibu na kisiwa cha Lamu, eneo linalosifika kama kivutio cha watalii.
Kenya imekumbwa na mashambulizi tangu mwaka 2011 ilipopeleka wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na wapiganaji wa Al Shabaab
Kenya imekumbwa na mashambulizi tangu mwaka 2011 ilipopeleka wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na wapiganaji wa Al Shabaab.
Wakazi waliambia BBC kuwa watu waliokuwa wamejihami walivamia gari moja ambalo walilitumia kufanyia mashambulizi katika maeneo tofauti ya Mpeketoni
Wakazi waliambia BBC kuwa watu waliokuwa wamejihami walivamia gari moja ambalo walilitumia kufanyia mashambulizi katika maeneo tofauti ya Mpeketoni.
Wakazi wanasema washambuliaji walikuwa wamejifunika nyuso zao na kisha kutupa maguruneti katika kituo cha polisi kabla ya kuingia na kuiba silaha
Wakazi wanasema washambuliaji walikuwa wamejifunika nyuso zao na kisha kutupa maguruneti katika kituo cha polisi kabla ya kuingia na kuiba silaha.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks