Hukumu Aliyopewa Justin Bieber Kwa Kosa La Kurusha Mayai Kwa Jirani Yake

bieber sHatimaye Justin Bieber amevuna matunda ya kosa alilofanya la kurusha mayai 20 kwenye nyumba ya jirani yake bila kuwa na sababu za msingi..>>>>

July 9, Justin Bieber akiwakilishwa na wakili wake aliyefahamika kwa jina la Shawn Holley amehukumiwa kufanya kazi za jamii kwa muda wa siku tano ikiwa ni pamoja na kusafisha mazingira. Pia anatakiwa kumlipa jirani yake $80,900 kama fidia ya uharibifu wa nyumba yake.
Mahakama imemtaka Justin Bieber kukaa umbali usiopungua hatua 100 na jirani yake wala familia ya jirani huyo kwa kipindi cha miaka miwili na pia ahudhurie program maalum itakayomsaidia kudhibiti hasira (enger management program).
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks