Picha Za Magari Wachezaji Wanayopenda Kumiliki.


Lionel Messi mshambuliaji wa Barcelona anamiliki gari aina ya GranTurismo MC Stradale na Thamani ya hili gari ni Dola za Kimarekani $143,000...>>

Mchezaji wa Man United Wayne Rooney anamiliki gari aina ya Overfinch Range Rover

Mshambuliaji wa Real madrid Cristiano Ronaldo anamiliki gari aina ya BMW M6/Lamborghini Aventador. Ronaldo anaaminika kuwa mpenzi wa magari ya bei ghali na anamkusanyiko wa magari tofauti nyubani kwake ambayo huwa hayatumi sana...>>>


Super Mario Balotelli naye anamiliki Audi R8 .


Fernando Torres yupo na gari iliyoimbwa na Rapper Rick Ross maarufu kama Aston Martin DB9
David Beckham ambaye alihamia marekani na kuishi kwa muda mrefu huko anamiliki haya magari Jeep Wrangler/Porsche 911 Turbo/Rolls-Royce Ghost.

Clint Dempsey Aka Captain America ni mchezaji kutoka Marekani anayelipwa zaidi. Hii ndio gari yake aina ya Ford F-150 Raptor. Analipwa dola milioni 7.8 na anachezea klabu ya Seattle Sounders FC

Kutoka Barcelona Andres Iniesta anamiliki gari aina ya Bugatti Veyron.

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks