Ukitazama picha hizi lazima ucheke na kutabasamu

Kutoka taarifa.co
Teknolojia imewaduwaza watu kweli, mwenzao anazama badala ya kumuokoa wao wako buzy kumpiga picha na kutuma mitandaoni...
Teknolojia imewaduwaza watu kweli, mwenzao anazama badala ya kumuokoa wao wako buzy kumpiga picha na kutuma mitandaoni…
Kwa wale wenye tabia ya udokozi na wizi, mnakaribisha nyumba hii.
Kwa wale wenye tabia ya udokozi na wizi, mnakaribisha nyumba hii.
Zombi hilo, Suarez ametoka kuwa shujaa uwanajani hadi kituko mtaani, tena hasa baa, hatari sana.
Zombi hilo, Suarez ametoka kuwa shujaa uwanajani hadi kituko mtaani, tena hasa baa, hatari sana.
Sasa jombaa hiyo fasheni ndo ya kisasa au vp, unatuchanganya, Mustapha Hassanali hajakuona nini? Mtafute.
Sasa jombaa hiyo fasheni ndo ya kisasa au vp, unatuchanganya, Mustapha Hassanali hajakuona nini? Mtafute.
Oohoo!!! Hapa imekuwaje tena, kweli ng'ombe ana visa vikubwa, sishangai anaabudiwa India.
Oohoo!!! Hapa imekuwaje tena, kweli ng’ombe ana visa vikubwa, sishangai anaabudiwa India.
Duu!!! Mazoezi tosha jamaa, mana kama unatoka Ubungo hadi Kariakoo namna hiyo hata askari wenyewe watakupigia saluti joh.
Duu!!! Mazoezi tosha jamaa, mana kama unatoka Ubungo hadi Kariakoo namna hiyo hata askari wenyewe watakupigia saluti joh. Hawa Mafia kweli kweli…
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks