Hatimaye Louis van Gaal ampa uongozi Wayne Rooney ndani ya Manchester united.

roomn
Kocha wa Manchester united Louis van Gaal amemteua Wayne Rooney kuwa captain mpya wa kikosi cha Manchester united na Darren Fletcher ameteuliwa kuwa captain msaidizi.>>>

Baada ya uteuzi huo kocha Van Gaal alisema,”Kwangu mimi siku zote imekuwa ni muhimu sana kuwa na chaguo zuri la captain. Wayne ameonyesha morali nzuri kwenye kila kitu anachofanya. Nimefurahishwa na uwezo wake wa ki-proffesional,pia ni mfano mzuri kwa wachezaji wachanga ndani ya timu. Naamini ataweka moyo wake na uwezo wake kwenye hii nafasi niliyompa”
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks