Rihanna ametokea kwenye cover la W Magazine akiwa na mavazi ya kiasili ya watu wanaoishi porini na nyingine akiwa na mavazi ya watu wanaoishi sehemu zenye baridi...>>
Magazine hiyo imemtambulisha Rihanna kama “world’s wildest style icon”. Kwenye hii photoshoot alifanya pamoja na models maarufu kama Naomi Campbell,Iman na Balmain.
About nellychazzy
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer







0 comments:
Post a Comment