Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250.

myamba
Hii imetoka kwenye instagram ya actor JB na inamuhusu muigizaji mwenzake wa bongomovie ambaye amefunga ndoa hivi karibuni.
Kwenye hiyo post taarifa ni kwamba pesa hizo hii ni moja ya zawadi alizopewa Pastor Myamba pamoja na mke wake baada ya kufunga ndoa yao....>>>

Hii picha ni baada ya kukabidhiwa hizo pesa.Capture
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks