Baada ya kuongelea manukato yake kwa muda wa mwezi mmoja sasa Rihanna yupo tayari kuweka sokoni bidha hii mpya,Wale wa Rihanna Perfume hii mpya inaitwa Rogue Man na inatoka September. Rihanna akiongelea perfume hii amesema “Inamanukato mazuri sana...>>>
mpaka wanawake watakuwa wanaiba T Shirt za wanaume wao”- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment