Baada ya kutokewa na ghasia katika onyesho lake nchini Ujerumani siku ya Jumamosi, Agosti, 30, Diamond ameeleza yafuatayo;...>>>>
“Kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart , Germany… kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jinsi watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halafu mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa 10 alfajiri… najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed… lakini naomba mtambue kuwa halikuwa kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoters tu!!!
Alinukuliwa Diamond Platnumz.
Na Blogu ya Wananchi.
0 comments:
Post a Comment