Matokeo kamili ya mechi Ligi Kuu Uingereza


Nahodha wa Manchester United akishangilia goli katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney akishangilia goli katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sunderland
Ligi ya Uingereza itatimua vumbi siku ya Jumapili baada ya jana kuchezwa mechi nane.
Matokeo ya mechi za Jumamosi ni kama ifuatayo;
Jumamosi 26 Septemba
Newcastle 2 – 2 Chelsea
West Ham 2 – 2 Norwich
Stoke 2 – 1 Bournemouth
Southampton 3 – 1 Swansea
Man Utd 3 – 0 Sunderland
Liverpool 3 – 2 Aston Villa
Leicester 2 – 5 Arsenal
Tottenham 4 – 1 Man City
Jumapili 27 Septemba
Watford v Crystal Palace 18:00
Jumatatu 28 Septemba
West Brom v Everton 22:00
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks