Forbes Imetoa orodha ya wasanii wa hiphop walioingiza pesa nyingi 2015.

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii wa hiphop waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2015 Hip Hop Cash Kings .Diddy  ameshika namba moja akiwa na dola milioni $60 million na imetajwa ni kwa mafanikio ya kinywaji chake cha Ciroc .

Orodha kamili iko hapa.

Diddy $60 million
Anamiliki TV network ya Revolt, clothing line Sean John, alkaline water brand Aquahydrate na Ciroc vodka.
2. Jay Z: $56 million

Anamiliki Roc Nation na Armand de Brignac champagne
3. Drake: $39.5 million

Mauzo ya album ya If You’re Reading This It’s Too Late na dili za Sprite na Nike.
4. Dr. Dre: $33 million

Kauza beats eletronics kwa dola milioni $620 mwaka jana, kazi na  Apple na kutengeneza muziki na pesa za filamu ya Straight Outta Compton pamoja na album.
5. Pharrell: $32 million

Jaji wa show ya The Voice, yupo kwenye Billionaire Boys Club na nguo za Ice Cream
6. Eminem: $31 million
7. Kanye West: $22 million
8. Wiz Khalifa: $21.5 million
9. Nicki Minaj: $21 million
10. Birdman: $18 million
11. Pitbull: $17 million
12. Lil Wayne: $15 million
13. Kendrick Lamar: $12 million
13. J. Cole: $11 million
14. Snoop Dogg: $10 million
16. Rick Ross: $9 million
17. Tech N9ne: $8.5 million
18. Ludacris: $8 million
19. T.I.: $6 million
20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 millio

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks