Ajali ya basi yaua watu 40 Mafinga

Baadhi ya miili ya abiria hao ikionekana imebanwa na kontena hilo lililoangukia basi wilayani Mafinga
Baadhi ya miili ya abiria hao ikionekana imebanwa na kontena hilo lililoangukia basi wilayani Mafinga
Watu 40 wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea wilaya ya Mafinga mkoani Iringa baada ya basi la Majinja kugongana na lori lenye kontena na kuangua basi nyingine.
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali hiyo ambapo inasemekana kuwa barabara hiyo imefungwa kufuatia ajali hiyo
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali hiyo ambapo inasemekana kuwa barabara hiyo imefungwa kufuatia ajali hiyo
Taarifa zaidi zinakujia
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks