Alexis ajivunia kukutana na Neymar

Alexis Sanchez akishangilia baada ya kufunga goli.
Alexis Sanchez akishangilia baada ya kufunga goli.
Nyota wa Arsenal Alexis Sanchez amemtumia salamu mwanachuo mwenzake wa zamani Neymar kabla ya kukutana kwenye mchezo wao wa kirafiki ambapo timu ya taifa ya Chile itapambana na timu ya taifa ya Brazil siku ya jumapili kwenye uwanja wa Emirates.
Alexis amesema kuwa ninafuraha sana kukutana tena na rafiki yangu wa zamani kwenye mchezo wa jumapili.
Msimu uliopita wachezaji hawa walikuwa wote kwenye timu ya Barcelona
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks