Ligi Kuu ya Uingereza imetoa kikosi bora kuwahi kutokea katika ligi hiyo mashuhuri duniani.
Kikosi hicho hupigiwa kura na wachezaji ambapo Sportsmail ilifanya utafiti kujua ni kikosi gani cha mwaka cha PFA kinapendwa zaidi. Mtindo ulinza msimu 1992/93.
Sportsmail ilifanya uchunguzi huo kujua ni kikosi gani bora kupitia kura zilizopigwa na wachezaji wenzao ambcho kitakuwa cha 24.
Steven Gerrard anaongoza kwa kuchaguliwa kwa mara ya saba.
Matokeo ya utafiti huo yalitoa kikosi chenye wachezaji wafuatao;
Mlinda mlango: Edwin Van Der Sar
Walinzi: Gary Neville, Ashley Cole, Rio Ferdinand na Nemanja Vidic
Viungo: Patrick Vieira, Steven Gerrard, Cristiano Ronaldo na Ryan Giggs
Washambuliaji: Thierry Henry na Alan Shearer.

0 comments:
Post a Comment