Manchester United ndio klabu ya soka ya Uingereza maarufu duniani na pia tajiri.
Wako mbele ya wapinzani wao wote katika vipengele vyote.
Wamewazidi Chelsea, Arsenal, Liverpool na Manchester City.
Umaarufu huo umetokana na mitandao miwili mikubwa Facebook na Twitter, ilhali utajiri umepimwa kutokana na kipato walichokipata msimu wa 2013/14.


0 comments:
Post a Comment