LEO KATIKA HISTORIA: Machi 29



Fabio Borini

1970: Manchester City yashinda taji la 10
Tangu mwaka 1923 ilikuwa ikicheza katika uwanja wa Maine Road kabla ya Ettihad mwaka 2003. Chini ya makocha Joe Mercer na Malcolm Allison walitwaa ubingwa. Miaka ya 1960-1970 ilikuwa timu ya kutisha sana. 

1973: Marc Overmars azaliwa
Huyu ni nyota wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Uholanzi alizaliwa katika kijiji cha Ernst. Akijiunga na Arsenal mwaka 1997 na mwaka 2000 alitimkia Barcelona kwa kitita cha paundi milioni 25. Aliitumikia ‘Oranje’ miaka 11.

1991: Fabio Borini azaliwa
Muitaliano huyu anaitumikia klabu ya Liverpool kwa sasa akitokea Sunderland. Anafahamika katika EPL kwa kasi na mshambuliaji anayejituma na kulijua vema lango. Alizaliwa Bologna akianza maisha yake ya soka akiwa na miaka tisa.

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks