PICHA:- Zitto Kabwe azindua Chama cha ACT Wazalendo leo March 29, 2015.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabweakihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa chama hicho kipya leo March 29,2015.. Zitto alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama hicho nafasi ambayo kwa katiba ya chama hicho ndiyo ya juu zaidi. Nafasi zingine ni Mwenyekiti wa chama, na makamu wake, wa Tanzania visiwani na Tanzania bara, hali kadhalika nafasi ya Ukatibu Mkuu na Manaibu wake wiwili.
  
Mama Anna Mughwira kawa Mwenyekiti wa kwanza wa chama cha ACT Wazalendo na kuweka rekodi nchini Tanzania ya kuwa Mwenyekiti wa Kitaifa Mwanamke.


 Bendera ya ACT Wazalendo.

Mmoja wa wafuasi wa chama cha ACT katika uzindizi wa Chama hicho kipya akiwa na Bongo lake.

Baadhi ya wanachama wa chama kipya cha siasa waliohudhuria uzinduzi wa chama cha ACT Wazalendo leo March 29, 2015,Jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wanachama wa chama kipya cha siasa waliohudhuria uzinduzi wa chama cha ACT Wazalendo leo March 29, 2015,Jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Uzinduzi  wa chama hicho umefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo March 29, 2015,jioni huku viongozi mbalimbali  kadhaa wamehudhuria  akiwemo mwanachama mpya wa chama hicho mwanamuziki  maarufu kutoka mkoani Morogoro Afande Sele.

Pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuwahutubia maelfu ya Wanachama,Wananchi pamoja na wafuasi  katika uzinduzi wa Chama kipya katika medani za siasa cha ACT Wazalendo,Wajumbe wa NEC wa ACT Wazalendo waliochaguliwa Walitambulisha.
Zanzibar.

Halima M Hamis

Said Ismail

Rashid S Ali

Juma Said Saanane 

Halua Ali Amali

Tanzania Bara

Marunga Msimba

Ali Mwinyi 

Sophia Yamola

Fungo G Benson

Charles Lubala

Godfrey Sanga 

Likapo B Likapo

Batulo Ibrahim 

Kirungi A Kirungi 

Alex Nsanga

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks