Picha: Mafuriko yaua 50, yajeruhi 82 Shinyanga

Baadhi ya nyumba zikiwa zimezibwa na maji baada ya mafuriko kuikumba wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga
Baadhi ya nyumba zikiwa zimezibwa na maji baada ya mafuriko kuikumba wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga
Watu wapatao 50 wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika mvua kubwa na mafuriko kaskazini magharibi mwa Tanzania, amesema afisa wa juu.
Wakazi wa Kahama wakijaribu kusaidiana kuondoka katika eneo hilo baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko yanayohofiwa kuua watu 50
Wakazi wa Kahama wakijaribu kusaidiana kuondoka katika eneo hilo baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko yanayohofiwa kuua watu 50
Mvua kubwa, mvua ya mawe na upepo mkali zimeikumba Wilaya ya Kahama ya Mkoani Shanyanga siku ya Jumanne, na kujeruhi watu wapatao 82.
Taarifa zinasema watu wapatao 82 wamejeruhiwa na mafuriko hayo
Taarifa zinasema watu wapatao 82 wamejeruhiwa na mafuriko hayo
“Kwa sasa watu wapatao 50 wanahofiwa kupoteza maisha,” Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga aliiambia AFP.
Mafuriko yamefanya uharibifu mkubwa wilayani Khama, Shinyanga
Mafuriko yamefanya uharibifu mkubwa wilayani Kahama, Shinyanga
“Miili mingi ya waathiriwa wanaaminika kubebwa na mafuriko ilikutwa kwenye eneo na wengine waLifariki hospitalini wakati wakipewa matibabu,” alisema wakati akitoa taarifa ya vifo vya watu38.
Mafuriko yaliyotokea Kahama yanahofiwa kusababisha vifo vya watu 50 na kujeruhi wengine 82
Mafuriko yaliyotokea Kahama yanahofiwa kusababisha vifo vya watu 50 na kujeruhi wengine 82
Taarifa kutoka ofisi ya Rais Jakaya Kikwete ilieleza maafa hayo kama ya, “kushtua na ya kusikitisha”.
Mabaki ya nyumba baada ya kuzolewa na maji kufuatia mvua kubwa, mvua ya mawe na upepo mkali
Mabaki ya nyumba baada ya kuzolewa na maji kufuatia mvua kubwa, mvua ya mawe na upepo mkali wilayani Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia Machi 4, 2015
Maafisa walisema watu wanaokadiriwa kuwa 3,500 katika eneo hilo ni wakulima maskini wanaoishi eneo la kusini mwa Ziwa Victoria na karibu na mbuga ya Serengeti, wameathiwa vibaya na mafuriko hayo.shy4
Paa la nyumba bada ya kuezuliwa kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali wila ya Kahama, mkoani Shinyanga
Paa la nyumba baada ya kuezuliwa kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks