Davido aliondoka kwenda Kenya
Watu maarufu wengi wa Nigeria na nyota wa sanaa wamekuwa kimya kuelezea
kuhusu uchaguzi huru na wa usawa wakati wengine walipigia kampeni wagombea
wanaowataka.
P Square walikuwa pamoja na Flavour jijini
London
Cha kusikitisha sio nyota wote waliamua kupiga kura kwa mgombea yeyote kwani
wengi wao wapo nje ya nchi kwenye matamasha sehemu mbalimbali duniani.
Mastaa wengine waliokosa uchaguzi.
Flavor alikuwa na tamasha London, akisindikizwa na Tiwa
Savage
Funke Akindele alikuwa London
Ruggedman alikuwa na matamasha mbalimbali
China
Dj Cuppy aliondoka Nigeria kwenda Kenya
Maheeda, malkia wa picha za uchi alikuwa
Australia
Dj Spinall alikuwa ziarani Marekani
Ice Prince alikuwa Houston, Marekani
Wizkid alikuwa Dubai
Je, mastaa wa bongo nao watakosa uchaguzi Oktoba 2015?
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment