Picha: Nyumba za Nyumba ya Angel Di Maria Inayopigwa Mnada Manchester

Angel Di Maria akiwa na mkewe Jorgelina
Angel Di Maria akiwa na mkewe Jorgelina
Nyumba ya kifarahari ya kiungo wa Manchester United Angel Di Maria limewekwa sokoni baada ya kuvamiwa na majambazi wakati nyota huyo akila chakula cha jioni yeye na familia yake

Majambazi hao walidaiwa kuingia kwa kuvunja mlango wa nyumba hiyo wakati mke na mtoto wa Di Maria wakiwa ndani katika kitongoji cha Cheshire jijini Manchester

Bwawa la kuogelea nje likiwa limepambwa kwa bustani kwa nje

Jakuzi la ndani ya hekalu hilo
Jakuzi la ndani ya hekalu hilo
Nyumba hiyo inauzwa pauni milioni 4.1
Nyumba hiyo inauzwa pauni milioni 4.1
Bafuni
Bafu
Chumba cha kulala
Chumba cha kulala
Cheshire ndicho kitongoji maarufu kwa kuishi wachezaji wa soka

Mke wa Di Maria na mtoto wao Baby Mia
Mke wa Di Maria na mtoto wao Baby Mia
Raia huyo wa Argentina alikuwa akila chakula cha jioni yeye, mkewe na mtoto wao ndipo majambazi walipojaribu kuvunja na kutaka kuiba mwezi uliopita

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks