Walimu waruhusiwa kuvaa hijabu Ujerumani

two-muslim-women-1
Mahakama ya katiba nchini Ujerumani imepitisha uamuzi wake kuhusu mavazi ya kiislamu ya wanawake katika jimbo la Bremen walimu walipewa ruhusa ya kuingia darasani wakiwa wamevalia hijabu.
Kulingana na taarifa ya maandishi iliyotolewa na Wizara ya Elimu na Sayansi katika jimbo la Bremen kuwa hakuna haja ya kupigwa marufuku maana mavazi hayo hayahusiani na kitisho cha ugaidi.
Taarifa hiyo ilibainisha kuwa walimu kuvalia hijabu haina hatari yoyote wala hakiwezi kuwa kitisho cha amani kwa shule za Bremen.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks