Ander Herrera amesema anatumia majina yote kwenye fulana yake kwa ajili ya uchawi kufuatia mafanikio yake Atletico Bilbao.
Katika video fupi ya maswali na majibu ya klabu kwenye ukurasa wa Facebook siku ya Jumanne asubuhi, kiungo wa Manchester United alidhihirisha kuwa anavaa majina mawili kwa ajili ya kiwango chake kilichomfanya ahamie kwa magwiji wa Uingereza msimu uliopita.
Herrera alijiunga na Red Devils kwa ada ya pauni milioni 29 kutokana na mafanikio yake ya miaka mitatu Bilbao ambapo alifika fainali za Copa de Rey na Ligi ya Ulaya katika msimu wa kwanza 2011/12.
Mimi ni mchawi. Nilianza kutumia Ander Herrera kutoka Athletic Bilbao miaka mitatu iliyopita na nafikiri nilikuwa na miaka mitatu mizuri Bilbao hivyo nilitaka kutumia jina hilo. Alijibu swali la mshabiki huyo.
0 comments:
Post a Comment