Taarifa kutoka Nigeria zinataarifu kuwa umetokea mlipuko wa bomu kwenye kambi ya jeshi la Nigeria jimboni Plateau ambapo shuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa idadi ya majeruhi bado haijajulikana.
Miezi ya hivi karibuni jimbo la plateau limekuwa likiandamwa na matukio ya kushambuliwa kwa mabomu,ikumbukwe kwamba mwezi wa pili mwaka huu ulitokea mlipuko kwenye kituo cha mabasi ambapo watu 13 waliuawa na wengine 14 kujeruhiwa.
0 comments:
Post a Comment