Tanzania imeporomoka kwa nafasi saba kwenye viwango vya fifa vilivyotolewa leo, mwezi uliopita Tanzania ilikuwa kwenye nafasi ya 100 sasa imekalia nafasi ya 107.
Timu 10 bora duniani ni:
1. Germany (1)
2. Argentina (2)
3. Belgium (4)
4. Colombia (3)
5. Brazil (6)
6. Netherlands (5)
7. Portugal (7)
8. Uruguay (9)
9. Switzerland (12)
10. Spain (11)
Timu 5 bora Afrika ni:
21. Algeria (18)
23. Ivory Coast (20)
26. Ghana (23)
30. Tunisia (25)
36. Senegal (36)
Afrika mashariki:
72. Uganda
74. Rwanda
107. Tanzania( 100 )
117. Kenya
123. Burundi
0 comments:
Post a Comment