Basi la Ngorika na Ratco yamegongana uso kwa uso na kusababisha idadi kubwa vya vifo vya abiria.
Mabasi hayo yaligongana katika katika eneo la Msata lililopo wilaya ya Handeni, mkoani Tanga na kudaiwa kusababisha vifo vya abiria 10 na kujeruh wengine 30, kwa mujibu wa jeshi la polisi wa eneo hilo

Basi la Ngorika likiwa limeharibika vibaya mbele baada ya kugongana na basi la Ratco katika eneo la Msata
Baadhi ya maiti zimeanza kutolewa katika mabasi hayo, huku zoezi la kuendelea kuwatoa wengine likiendele katika eneo hilo.
Basi la Ratco lilikuwa likifanya safari ya kutoka mkoa wa Tanga kuelekea jijini Dar es Salaam
Picha hizi ni kwa hisani ya Mtandao wa Mabalozi wa Usalama barabarani Tanzania (RSA).
About nellychazzy
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment