kuhusu snoop dogg kuvuta bangi akiwa white house u.s.a


Snoop Dogg alieleza alikuwa amevuta alipokutana na rais Barack Obama
Snoop Dogg alieleza alikuwa amevuta alipokutana na rais Barack Obama
Snoop Dogg amebainisha kuwa alikuwa amevuta (bangi) wakati alipokutana na Rais Barack Obama, na hata kuingia katika bafu la White House na kuvuta tena.
Rapa huyo mkongwe, 43, aliulizwa na Andy Cohen kwenye kipindi cha Watch What Happens Live kuhusu tabia yake ya uvutaji wakati alipoulizwa kuhusu tukio kubwa alilowahi kulifanya.
Alieleza hayo akiwa katika  kipindi cha Andy Cohen cha Watch What Happens Live
Alieleza hayo akiwa katika kipindi cha Andy Cohen cha Watch What Happens Live
“Ikulu ya Marekani,” alijibu. “Lilikuwa jambo maridhawa. Tukio la miaka.”
Pia alidai angependa kukutana na Rais baada ya kumaliza muda wake mwakani ili wazungumze vizuri.
Snoop Dogg alipokutana na Rais Barack Obama mwaka 2014
Snoop Dogg alipokutana na Rais Barack Obama mwaka 2014
“Nataka nikutane naye akitoka ofisini ili tuzungumze hasa kilichotokea,” alitabasamu.
Na alipoulizwa kama aliingia bafuni kwa ajili ya kuvuta tena, alisema; “Huko ndiko nlikojaribu kuingia, unanisoma? Nikakutana na mlinzi na nikapishana naye kiaina aina.”
White House - Ikulu ya Marekani
White House – Ikulu ya Marekani
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks