Mara baada ya kupata mafanikio makubwa msimu uliopita wa 2014/15 na klabu yake ya Barcelona kwa kubeba makombe matatu makubwa,Neymar Jr, 23,kwasasa yupo katika fukwe za Ibiza akimalizia likizo yake,
kabla ya kujumuika na kikosi chake siku ya Alhamisi kwa ajili ya maandalizi ya Msimu mpya.

Neymar Jr alionekana akila ‘bata’ na ndugu pamoja na marafiki wakaribu wakiwa katika boti (Yacht) ya kifahari.
Neymar Jr, alipewa likizo ndefu na Kocha Luis Enrique wa klabu yao ambayo kwasasa ipo nchini Marekani kujifua na msimu mpya

0 comments:
Post a Comment