Baada ya kocha wa Chelsea Jose Mourinho kumesema kwamba, kocha wa Arsenal Arsene Wenger anahitaji kupewa kalukuleta linapokuja suala la kufananisha kati ya Arsenal na Chelsea.
Mwanzoni kabisa Wenger alisema “isingewezekana” kwa Arsenal kushinda taji la ligi kuu kwa miaka kadhaa iliyopita, kitu ambacho Mourinho amekipinga.
Mourinho aliiwezesha Chelsea kutwaa taji la EPL msimu wa 2014-15 na kuelekea msimu mpya wa ligi, anasema kwamba, kauli ya Wenger imejaa uongo mtupu.
Kwa mujibu wa Bank Kuu ya Tanzania (BOT) leo tarehe 29 Julai 2015, pauni moja ya Uingereza ni sawa na Tsh 3120.
0 comments:
Post a Comment