hatimaye baraza la mithihani {NECTA} latoa ufafanuzi kuhusu madalaja mapya yaliyowekwa...



UFAFANUZI: KWA NINI WANAFUNZI WENYE POINTI SAWA WAMEWEKWA MADARAJA TOFAUTI KWENYE MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013! Hatimaye Baraza la Mitihani (NECTA) limefafanua kizungumkuti kilichowakumba wengi kuhusiana na utata katika upangaji wa madaraja ya ufaulu katika mtihani wa kidato cha IV 2013. NECTA imesema, kwa yeyote mwenye pointi kuanzia 32 kama hana ama D mbili au C moja, anahesabika kuwa na Daraja 0 kama inavyoonekana katika picha. Hii ndiyo sababu utaone watu wana pointi mfano 43 lakini mmoja yupo daraja Sifuri (0) na mwingine yuko daraja la nne (4).
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks