OMMY DIMPOZ AFANYA VIDEO NA MODEL SOFIA SK WA JIJINI LONDON.
Mwanamuziki Mahiri kutoka Tanzania ambaye alikuwa London akishoot Video ya wimbo wake mpya, amesema kuwa anayofuraha kuweza kufanya kazi na model anayetikisa jiji la London.
Hivi sasa Ommy ameshatua nyumbani na tunasubiria kuipokea kazi yake...
0 comments:
Post a Comment