Video ya Diamond Platnumz yashika namba moja katika Top 10 za Afrika.


Screen Shot 2014-03-14 at 1.50.25 PMToka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika Mashariki alieshika nafasi ya kwanza kwenye Top10...>>>
Siku zote nilizoea kuona Wasouth Africa na Wanigeria ndio wanaishika namba 1 ila sasa Mtanzania Diamond ameivunja hiyo rekodi kupitia single yake ya ‘number 1 rmx’ ambayo kamshirikisha Mnigeria Davido
POWERED BY millardayo
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks