kutoka africa kisini: Nani aliiba saa za Pistorius?

Saa mbili za kifahari za Oscar Piatorius zilitoweka katika eneo la tukio la mauaji ya mpenzi wake, polisi wa zamani aliifahamisha mahakama inayoskiliza kesi ya mauaji dhidi ya mwanariadha huyo mlemavu.
Polisi huyo kwa jina Schoombie van Rensburg, aliambia mahakama kuwa alikasirishwa sana na kupotea kwa saa hizo na kwamba aliamuru polisi kukaguliwa..>>>
.
Polisi huyo kwa jina Schoombie van Rensburg, aliambia mahakama kuwa alikasirishwa sana na kupotea kwa saa hizo na kwamba aliamuru polisi kukaguliwa.
Mahakama pia ilionyeshwa picha ya Pistorius ikiwa amevalia nguo iliyokuwa na damu.
Amekana madai ya kumuua mchumba wake Reeva Steenkamp mwaka jana akisema kuwa alifyatua risasi akidhani jambazi alikuwa amevamia nyumba yake.
Upande wa mashitaka umesema kuwa Pistorius alimuua mchumba wake kwa maksudi baada ya wawili hao kuwa na ugomvi wa kinyumbani mwaka jana.
Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa Jumatatu.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks