Angalia picha na video jinsi Drake jinsi alivyobadilishwa sura na kujichanganya mtaani akijifanya Mwandishi wa habari

dfffMsanii Drake amebadilishwa sura kwa kubandikwa ndevu za bandia na kuvalishwa wigi ambapo vyote hivyo vimempa muonekano tofauti kabisa na alivyozoeleka.
Alichokifanya ni kuingia mitaani na kuwauliza watu maswali kuhusu yeye na baadhi yao wamemuongelea vibaya bila kujua wanaongea na Drake mwenyewe...>>
Screen Shot 2014-04-12 at 12.59.02 PMAngalia hii video hapa chini jinsi mambo yalivyokwenda


ddddddddddddddddddddddd


Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks