Tazama Picha za Jux akifanya video ya ‘NITASUBIRI’ huko China

1Msanii Jux wa bongofleva kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya “nitasubiri” ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba wimbo huo amemuimbia mpenzi wake (Jackie Cliff) anaedaiwa kufungwa gerezani China kwa ishu za dawa za kulevya...>>

Hizi ni picha za siku ya kwanza ya shooting hiyo huko China ambako ndiko alikofanya ile video ya ‘uzuri wako’ iliyotolewa kushiriki tuzo za KILI 2014 kutokana na kukiuka maadili ya Kitanzania.
2
3
4
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks