Ipate hii: Hiki ndio kiatu cha Cristiano Ronaldo alichovaa dhidi ya Bayern Munich na kuvunja hii rekodi

10299923_699658110097071_8417158352982918543_n
Usiku wa jana kwenye game ya ligi ya mabingwa ulaya Real Madrid vs Bayern Munich mshambuliaji Cristiano Ronaldo alirudi uwanjani baada ya kukosekana kwa wiki mbili ambapo pamoja na kurudi kwake na kuisaidia timu kushinda, alitengeneza headlines kwa kiatu kipya cha kucheza alichovaa....>>>>

Ni kiatu kipya alichotengenezewa na kampuni ya Nike kilichotengenzwa kwa kuwekwa rangi ilitokana na dhahabu na ngozi nyeupe kilianza kuuzwa jana kwenye mtandao wa nike.com lakini ndani ya muda mfupi sana tayari pea zote 100 zilikua zimenunuliwa.
Nike Cristiano Ronaldo 2014 Special Edition Boot Gold Clasico(1)
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks