Mtanzania wa kwanza kuthibitishwa na facebook kuwa na uhalali wa account

Screen Shot 2014-04-19 at 1.09.28 AM
Flaviana Matata amekua mwakilishi mzuri wa Tanzania kwenye nchi mbalimbali alizofanya kazi kama Ufaransa, Hispania na Marekani ambako anaishi sasa hivi New York....
Flaviana amethibitishwa rasmi na facebook kwamba hiyo account yenye hicho kitiki hapo juu ndio account yake pekee na halali hivyo ule utapeli ambao ulikua unafanywa kwa kutumia account nyingine feki za Flaviana utaishia hapa....>>>

Flavvy anakua Mtanzania wa kwanza ninaemfahamu kuwa verified na facebook ambapo tayari kwenye account yake ya twitter yuko verified pia ambapo Watanzania wengine ambao wako verified twitter ni President Jakaya, Hasheem, Ay, mawaziri January Makamba na Lazaro Nyalandu.
Screen Shot 2014-04-19 at 1.10.06 AM
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks