MMILIKI WA KLABU YA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA.


MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA
Mmiliki wa Klabu ya Manchester United Malcolm Glazer amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
Familia ya Glazer ilinunua Manchester United kwa paundi milioni 790 mwaka 2005 licha ya mashabiki kupinga hatua hiyo.....>>>>

Baada ya hapo United walishinda kombe la EPL mara tano - 2005, 2008, 2009, 2011 na 2013, na pia Champions League mwaka 2008.
Glazer ambaye ni Mmarekani pia alinunua klabu ya NFL ya Tampa Bay Buccaneers mwaka 1995.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks