Mwandishi wa vitabu Maya Angelou afariki dunia.

mayaangelou
 Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.

 Ikiwa ni moja katika ya sauti kubwa za kifasihi duniani, Maya alitengeneza jina lake mwaka 1969 kupitia kitabu cha I Know Why the Caged Bird Sings.....>>>>>>


 maya
 Familia yake imesema kuwa Mwanaharakati huyo aliishi kama mwalimu, 
 mwanaharakati,msanii na mtu mwenye utu. Alikuwa sauti ya amani duniani.
 Maya amefariki akiwa nyumbani kwake Kaskazini mwa Jimbo la North Carolina.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks