Hii Inahusu Facebook kutokuwa hewani kwa dakika 30

Screen Shot 2014-06-19 at 2.44.12 PMWamiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook ambao una watumiaji wengi zaidi duniani wamelazimika kutoa maelezo juu ya kuondoka hewani kwa mtandao huo kwa muda wa dakika 30 dunia nzima....>>>

fb2
Msemaji wa Facebook amenukuliwa akisema kuwa “Mapema leo asubuhi tulipata tatizo kubwa la watu kushindwa kuingia na kuandika chochote au kupost picha katika mtandao wetu kwa muda wa dakika 30″
Anaendelea kwa kusema kuwa wametatua tatizo hilo haraka na kufanikiwa kurejesha mtandao huo hewani kwa asilimia 100 ambapo pia ameomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
fb
Wakati mtandao huo ukiwa chini na watu kushindwa kupost wengi walihamishia hasira zao kwa kuandika kupitia Twitter ambapo silimia 78 ya watu wanaotumia Facebook dunia nzima walishindwa kabisa kutumia mtandao huo kwa dakika 30 wakati asilimia 21 ya watu waliweza kuingia.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks