Hii ni mpya kutoka china, na begi lenye uwezo kama wa pikipiki

BEGI1Unaambiwa Wachina wameamua kuonyesha maajabu mengine kwa kufanya begi kuwa baiskeli tena ikiwa na uwezo wa kubeba mtu mmoja na ikiwa ni baiskeli yenye ufanyaji kazi kama wa pikipiki....>>

BEG2Sanduku hili ambalo lina matairi mawili lina uwezo wa kwenda umbali wa Kilomita zisizopungua 60 kwa kasi ya Kilomita 20 kwa saa na linatumia nishati ya umeme ambayo ni betri.
Baiskeli hii imezinduliwa na mkulima aitwae He Liang ambae ametumia miaka 10 kulitengeneza sanduku hili ambalo lina nafasi ya kutosha ya kuweka nguo ambapo likiwa tupu unaambiwa lina uzito wa Kilo 7.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks