Kutoka china: Mfanyabiashara tajiri wa China ashtakiwa kwa kula nyama ya Chui watatu.

chuii
Mfanyabiashara mmoja tajiri raia wa China amekutwa na hatia ya kula Chui watatu ambapo amekiri kufanya kitendo hicho.
Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina moja la Xu kutoka Kusini Magharibi mwa Jimbo la Guangxi, anadaiwa kuipenda ladha ya Chui hao pamoja na damu.....>>>>

Mwanaume hao alifanikiwa kununua Chui hao walioingizwa kimagendo na kundi la marafiki zake kutoka nje ya China.
Walikamatwa na polisi waliozingira sherehe yao ya kuchoma nyama ya Chui waliyoiandaa kuonyesha utajiri wao.
Nchini China, Chui wanachukuliwa kama alama ya Ujasiri na Nguvu ambapo waganga wa kimila hutumia baadhi ya viungo vya miili yao kwa ajili ya dawa za magonjwa mbalimbali kama kuumwa mifupa na kuongeza uwezo wa macho kuona.
Waendesha mashtaka katika mji wa Qinzhou wanasema kuwa Bw. Xu ana appetite ya haraka ya kula uume wa Chui pamoja na kunywa damu yao.
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks