Askari wa kutuliza ghasia wakiwa kwenye gari tayari kupambana na wamachinga wa soko la Makoroboi...>>>
Baadhi ya mitaa ikionekana kuwa na watu wachache baada ya polisi kuwafurusha wafanyabiashara wadogo (Wamachinga) kwenye soko la Makoroboi.
Gari la zimamoto likizima moto uliokuwa ukichoma baadhi ya vipande vya mbao vilivyotokana na kubomolewa kwa vibanda vya wamachinga wa soko la Makoroboi.
Moshi ukifuka kutokana na moto uliokuwa ukichoma baadhi ya vipande vya mbao vilivyotokana na kubomolewa kwa vibanda vya wamachinga wa Makoroboi.
Polisi wakiendelea kuwafuata na kuwarushia mabomu ya machozi wafanyabiashara jijini Mwanza.
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya gorofa wakishuhudia namna polisi wakiwatimua wafanyabiashara wa Makoroboi.
Bado polisi walikuwa wakiendelea kufanya operesheni ya kuwafukuza wafanyabiashara (Wamachinga).
Polisi walihakikisha kila mtaa wa karibu na Makoroboi unakuwa chini ya usalama wao. Picha na Mwandishi wetu.
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment