
Muunganiko wa picha mbalimbali za kuungua kwa soko maarufu la mitumba ya nguo la Karume jijini Dar Es Salaam lililoungua usiku wa kuamkia leo. Taarifa News inafuatilia kujua chanzo cha moto huo.>>>>>

Moto mkali ukiwaka kwenye soko la Karume jijini Dar Es Salaam. Chanzo cha moto huo hakijajulikana. Taarifa News inafuatilia.
0 comments:
Post a Comment