Umeipata Hii: Timu zilizozuia na zilizowaruhusu wachezaji kufanya ngono wakati wa Kombe la Dunia

World CUPMashindano ya Kombe la dunia yanaendelea na mengi yanazidi kufahamika wakati huu hata nje ya uwanja. Hivi karibuni suala lingine limezuka na watu wameanza kufuatilia maisha ya wachezaji nje ya uwanja na sual la kufanya mapenzi limemulikwa na wengi....>>>>

 Mwisho wa siku zimewekwa wazi timu ambazo zimetoa tamko kuhusu suala hilo kwa wachezaji wao na zile zilizopiga marufuku. Mfano Nigeria wao wamewaruhusu wachezaji wao kufanya mapenzi lakini ni kwa wale wenye ndoa tu kwa wake zao.
Sasa hizi ndizo timu ambazo zimetajwa kuwarusu/kutowaruhusu na ambazo hazikutoa tamko kuhusu wachezaji wao na starehe hii.
Zilizoruhusu:
Nigeria(Kwa wanye ndoa tu. )
Germany
Brazil
Argentina
Spain
USA
Australia,
Italy
Netherlands
Switzerland
Uruguay
England
France
Zilizozuia:
Cameroon
Ghana
Russia
Chile
Mexico
Bosnia
Herzegovina
South Korea
Ambazo hazifahamiki uamuzi wao:
Netherlands
Côte d’Ivoire
Greece
Japan
Costa Rica
Ecuador
Switzerland
Iran
Portugal
Algeria
Belgium
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks