Beyonce aongoza orodha ya mpya ya Forbes '100 Most powerful Celebrities', ampiku Oprah Winfrey



 Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya mwaka huu ya watu maarufu wenye ngunvu zaidi duniani kwa mara ya kwanza ‘100 Most Poweful Celebrity’ na kumpiku Oprah Winfrey ambaye amekaa mara kadhaa katika nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na mwaka jana...>>
Kwa mujibu wa jarida hilo, Beyonce anaongoza huku kipato chake tangu June 1, 2013 hadi June 1, 2014 kikitajwa kuwa $115 Million kupitia endorsement na shows 95 alizofanya.

 Wengine waliotajwa kwatika orodha hiyo ni mchezaji wa mpira wa kikapu LeBron James, Dr Dre, Oprah Winfrey, Ellen DeGeneres, Jay Z, Floyd Mayweather, Rihanna na Katty Perry.
 1. Beyonce-$115 million
 2.LeBron James- $72million
 3. Dr. Dre -$620million
 4.Oprah Winfrey-  $82million
 5. Ellen DeGeneres  -$70million
 6.Jay Z -$60million
 7 Floyd Mayweather- $105million
 8. Rihanna - $48million
 9 Katy Perry- $40million $75million
 10. Robert Downey Jr- $75 Million
Beyonce aongoza orodha ya mpya ya Forbes

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks