VALDES 'AFELI MEDICAL' MONACO
Kipa wa zamani wa Barcelona Victor Valdes
ameshindwa vipimo vya afya na hivyo
hatoweza kujiunga na Monaco inayocheza
ligi ya Ufaransa- Ligue 1.
Makamu wa rais wa Monaco Vadim Vasyliev
amesema: "Ameumia na hatoweza kuja
hapa."
Valdes alipata jeraha kubwa la goti baada
ya kutangaza kuwa msimu wa 2013/14 ni
wa mwisho kuichezea Barca, baada ya
miaka 12.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment