Kala Jeremiah anatarajia kufanya Collabo na “Dolly Parton” kutoka Marekani

Baada ya “Simu ya Mwisho” kwenda vizuri sasa ni kitu kipya tena chanukia kutoka kwa Rappa Kala Jeremiah.
Dolly-Parton
Kwa kipindi hiki cha muda mfupi wasanii wa Tanzania wamekuwa na kiu sana ya kupiga hatua katika kazi zao za Muziki ili kuweza kutanua / kutangaza muziki wao kimataifa zaidi. Tumeona kwa Diamond akiwa amemshirikia Davido, Iyanya, Mafikizolo n.k Pia kwa msanii kama AY na Mwana Fa..>>>
na J.Martin n.k. Sasa imefika zamu ya Kala na kwa upande wake amevuka anga mpaka Marekani na kuamua kufanya Collabo na Msanii “Dolly Parton” Kala ameeleza kuwa atafanya nae Remix ya “COAT OF MANY COLORS” tusubiri hiyo collabo
kala jeremiah
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks