Picha, Goli Bora La Van Persie La Kombe La Dunia Lawekwa Katika Sarafu Ya Uholanzi

van 1Ikiwa ni kumbukumbu maalum ya hatua nzuri waliofikia Uholanzi ya kutinga katika hatu ya nusu finali za kombe la dunia, kampuni pekee ya nchini Uholanzi iliyopewa mamlaka ya kutengeza sarafu ijulikanayo kama the Royal Dutch Mint inajitayarisha kutoa sarafu inayoonyesha kitendo cha aina yake cha Van Persie cha kupiga kichwa kama vile anaogelea hewani...>>>>

Goli hilo la Van Persie lilikuwa goli la kwanza la timu hiyo katika michuano hii ya kombe la dunia dhidi ya uhispania na imebaki kama moja ya vitendo vya kukumbukw asana katika michuano hiyo hata kufikia hatua ya kutengenezewa sarafu hiyo ya kihistoria.Ni sarafu 6,000 zitatolewa na zote zitauzwa siku ya kwanza kwa dola 13.4 za kimarekani sawa na Takribani Sh. Elfu thelathini za kitanzania na zitakazouzwa si zaidi ya mbili kwa mtu mmoja.Kwa kuwa sarafu hii haipo kisheria itakua na thamani kwa mtumiaji peke yake.van 3van 2


Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks